i. Diaspora au kikundi cha diaspora mwenye mchango mkubwa katika jamii, upande wa watoto.
ii. Diaspora au kikundi cha diaspora wenye Mchango mkubwa Katika Jamii, Upande Wa kusaidia Wazee na walemavu.
iii. Diaspora anayetumia fedha nchini kwa kutumia benki za ndani.
iv. Diaspora anayetuma pesa nyingi kwa kutumia kampuni za simu za ndani.
v. Diaspora au kikundi cha diasipora wenye mchango katika jamii upande wa wamama au wajawazito.
vi. Diaspora investors bora nchini Tanzania.(upande wa viwanda, shule, kilimo, kampuni, ufugaji, utalii nk.).
vii. Diaspora au kikundi cha diaspora wanaosaidia kukitangaza Kiswahili kimataifa.
vii. Diaspora aliyetoa fursa au koneksheni nyingi kwa Watanzania kwenda nje.
ix. Diaspora au kikundi cha diaspora waliotoa ajira nyingi kwa Watanzania nchini.
x. Diaspora mwanamitindo bora.
xi.Diaspora aliyewekeza kwenye kilimo nchini.
xii. Diaspora mbunifu wa teknolojia.
xiii. Diaspora msanii/wasanii waliokitangaza Kiswahili kimataifa.
xiv. Diaspora msanii/mchezaji mwenye ushawishi nchini.
xv. Diaspora mpishi mgahawa unaopika vyakula vya Kitanzania.
xvi. Diaspora Promota bora aliyefikisha muziki wa Bongo fleva, duniani na nyinginezo.
xvii. Diaspora anayepinga ukatili wa kijinsia kwa .watoto.
xviii. Diaspora mtunza mazingira.
xix. Diaspora anayefanya kazi katika vyombo vya ulinzi wa nchi za nje.
xx. Diaspora kiongozi anayesimamia taasisi nje ya nchini NK.
xxi. Diaspora mwandishi au Mtangazaji bora aliyetangaza au anayetangaza kwa Kiswahili kwenye vyombo vya habari vya Kimataifa.
xxii. Diaspora au kikundi au kampuni inayotangaza utalii wa Tanzania nje.